
Kanisa Katoliki la Mpitimbi. Hapa ndio makao makuu ya Parokia yenye vigango vikubwa vya Lipaya na Namatuhi.
Wanampitimbi ni blog inayowahusisha wote wenye asili ya Mpitimbi na marafiki zao.Kati ya vitu ambavyo Wanampitimbi waishio nje ya Ruvuma wanavikumbuka ni: NGOMA: Lizombe, Ligiu, Ligwamba, Madogoli, Beta, Chomanga, Kihoda, Zilanga. VINYWAJI: Ulanzi, Myakaya, Kindi, komoni, mbege. BITES: Nyenje, mbulika, mangatungu, mawungu, Kikande. MATUNDA: Madonga, Mabuni, Masuku, Vipwete.
No comments:
Post a Comment